// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); CEDRIC KAZE NDIYE KOCHA MPYA MKUU NAMUNGO FC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE CEDRIC KAZE NDIYE KOCHA MPYA MKUU NAMUNGO FC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, July 24, 2023

    CEDRIC KAZE NDIYE KOCHA MPYA MKUU NAMUNGO FC


    KLABU ya Namungo FC imemtambulisha Mrundi, Cedric Kaze kuwa kocha wake Mkuu kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.
    Kaze anajiunga na Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi baada ya kufanya kasi Yanga kwa awamu mbili, kwanza kama Kocha Mkuu na baadaye Kocha Msaidizi hadi msimu uliopita.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CEDRIC KAZE NDIYE KOCHA MPYA MKUU NAMUNGO FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top