YANGA SC WALIVYOONDOKA KUIFUATA USM ALGER NCHINI ALGERIA
KIPA wa Yanga, Djigui Diarra akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati wa safari ya kwenda Algeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger Jumamosi Uwanja wa Julai 5, 1962 Jijini Algiers. Yanga inahitaji ushindi wa 2-0 ili kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kutwaa Kombe la Afrika baada ya kufungwa 2-1 kwenye mechi ya kwanza Dar es Salaam Jumapili iliyopita.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment