Wednesday, June 28, 2023

    TANZANIA YAANZA VIBAYA MICHEZO YA AFRIKA SOKA LA UFUKWENI


    TIMU ya taifa ya Soka la Ufukweni, imeanza vibaya Michezo ya Afrika baada ya kufungwa na Morocco 6-4 katika mchezo wa Kundi la Kwanza Ufukweni wa Hammamet nchini Tunisia.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TANZANIA YAANZA VIBAYA MICHEZO YA AFRIKA SOKA LA UFUKWENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry