• HABARI MPYA

        Friday, June 16, 2023

        SUNDERLAND NDIYE MDHAMINI MPYA WA JEZI SIMBA SC


        KAMPUNI ya Sunderland imeingia mkataba wa udhamini wa jezi na klabu ya Simba wenye thamani ya Sh. Bilioni 2 kwa mwaka miaka miwili.
        Sunderland wanachukua nafasi ya Vunja Bei ambaye amemaliza mkataba wake wa miaka miwili.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SUNDERLAND NDIYE MDHAMINI MPYA WA JEZI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry