// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SINGIDA STARS YAMUONGEZEA MKATABA AZIZ ANDAMBWILE HADI 2026 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SINGIDA STARS YAMUONGEZEA MKATABA AZIZ ANDAMBWILE HADI 2026 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, June 26, 2023

    SINGIDA STARS YAMUONGEZEA MKATABA AZIZ ANDAMBWILE HADI 2026


    KLABU ya Singida Fountain Gate ‘The Big Stars’ imemuongezea mkataba kiungo wake Aziz Andambwile hadi mwaka 2026.
    Aziz Andambwile anakuwa mchezaji wa tatu kuongeza mkataba kutoka kikosi cha msimu uliopita baada ya Mbrazil Bruno Gomez hadi mwaka 2025 na Yusuph Kagoma hadi mwaka 2025.
    Aidha, Singida Big Stars imeachana na kiungo wake Muargentina, Miquel Escobar baada ya msimu mmoja wa kuwa na timu hiyo.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SINGIDA STARS YAMUONGEZEA MKATABA AZIZ ANDAMBWILE HADI 2026 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top