KLABU ya Simba imeachana na kiungo wake Mnigeria, Victor Akpan baada ya msimu mmoja tangu imeshika kutoka Coastal Unión ya Tanga. Akpan amecheza Simba kwa nusu msimu tu, kabla ya dirisha dogo kutolewa kwa mkopo Ihefu SC ya Mbarali mkoani Mbeya na anakuwa mchezaji wa pili kuruhusiwa baada ya winga Mghana, Augustine Okrah. “Baada ya kuwa kwenye kikosi chetu kwa msimu mmoja, Victor Akpan hatakuwa sehemu ya timu yetu ya msimu ujao,” imesema taarifa ya Simba mchana huu.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment