WACHEZAJI wa Simba SC wakiwa mazoezini kujiandaa na mechi zao mbili za kumalizia msimu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Polisi Tanzania Juni 6 na Coastal Union Juni 9, mwaka huu Jijini Dar es Salaam.
SIMBA SC WAKIJIFUA KUJIANDAA KUKAMILISHA RATIBA LIGI KUU
WACHEZAJI wa Simba SC wakiwa mazoezini kujiandaa na mechi zao mbili za kumalizia msimu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Polisi Tanzania Juni 6 na Coastal Union Juni 9, mwaka huu Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment