• HABARI MPYA

        Thursday, June 15, 2023

        SIMBA SC NAO WAANZA KUPUNGUZANA KAZINI, KOCHA WA MAKIPA 'OUT'


        KLABU ya Simba imeachana na kocha wa makipa, Mmorocco Chlouha Zakaria baada ya kufanya kazi kwa msimu mmoja tangu arithi mikoba ya mzawa, Muharami Mohamed 'Shilton'.
        "Tunakutakia kila la kheri katika maisha yako mapya nje ya Simba,"imesema sehemu ya taarifa ya Simba kumuaga kocha huyo.


        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SIMBA SC NAO WAANZA KUPUNGUZANA KAZINI, KOCHA WA MAKIPA 'OUT' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry