WACHEZAJI wa Yanga wakiwa kwenye basi maalum la wazi kusherehekea na Kombe lao la ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania leo Jijini Dar es Salaam baada ya kuwasili kwa ndege wakitokea Mbeya ambako jana walicheza mechi yao ya mwisho ya Ligi Kuu dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons na kuibuka na ushindi wa 2-0 Uwanja wa Sokoine.
VIDEO: SHEREHE ZA UBINGWA YANGA SC
VIDEO: SHEREHE ZA UBINGWA YANGA SC
VIDEO: SHEREHE ZA UBINGWA YANGA SC
PICHA: SHEREHE ZA UBINGWA YANGA SC
PICHA: SHEREHE ZA UBINGWA YANGA SC
0 comments:
Post a Comment