TIMU ya Sevilla ya Hispania imefanikiwa kutwaa Kombe la Europa League kwa mara ya saba baada ya ushindi wa penalti 4-1 kufuatia sare ya 1-1 na AS Roma usiku wa Jumatano Uwanja wa Puskás Aréna Jijini Budapest nchini Hungary. Roma ya kocha José Mourinho ilitangulia kwa bao la dakika ya 34 la Paulo Dybala, kabla ya Gianluca Mancini kujifunga dakika ya 55 kuipatia bao la kusawazisha Sevilla. Na kwenye mikwaju ya penalti Bryan Cristante pekee alifunga ya Roma, huku za Sevilla zikifungwa na Lucas Ocampos, Erik Lamela, Ivan Rakitić na Gonzalo Montiel.
Uganda U17 Boys Face Kenya in Group A Finale
-
The Uganda U17 Boys National Team is bracing for one of the most pivotal
matches in their campaign as they take on familiar rivals Kenya in the
final Gro...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment