RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akipokea Medali kama ishara ya shukrani kutoka kwa Rais wa Klabu ya Yanga, Hersi Said wakati wa hafla ya kuipongeza timu hiyo kwa kufika Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 June, 2023.
RAIS SAMIA AWATAKA WATANZANIA KUWA WAZALENDO KATIKA MICHEZO
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akipokea Medali kama ishara ya shukrani kutoka kwa Rais wa Klabu ya Yanga, Hersi Said wakati wa hafla ya kuipongeza timu hiyo kwa kufika Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 June, 2023.
0 comments:
Post a Comment