• HABARI MPYA

        Sunday, June 11, 2023

        NTIBANZOKIZA MCHEZAJI BORA, ROBERTINHO KOCHA BORA LIGI KUU MEI


        KIUNGO mshambuliaji wa Kimataifa wa Burundi, Saido Ntibanzokiza wa Simba SC amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mwezi Mei, 2023, Mbrazil Robert Oliveira ‘Robertinho’ akishinda tuzo ya Kocha Bora.


        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: NTIBANZOKIZA MCHEZAJI BORA, ROBERTINHO KOCHA BORA LIGI KUU MEI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry