HATIMAYE Manchester City imetwaa taji la kwanza la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Inter Milan ya Italia usiku wa jana Uwanja wa Atatürk Olimpiyat Jijini İstanbul nchini Uturuki. Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, kiungo wa Kimataifa wa Hispania, Rodrigo Hernández Cascante 'Rodri' dakika ya 68 na hilo linakuwa taji la tatu la msimu kwa kocha Mspaniola, Pep Guardiola baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England na Kombe la FA.
Uganda U17 Boys Face Kenya in Group A Finale
-
The Uganda U17 Boys National Team is bracing for one of the most pivotal
matches in their campaign as they take on familiar rivals Kenya in the
final Gro...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment