// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NAMUNGO FC YAMTAMBULISHA ERASTO NYONI SIKU MOJA TU BAADA YA KUTEMWA SIMBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NAMUNGO FC YAMTAMBULISHA ERASTO NYONI SIKU MOJA TU BAADA YA KUTEMWA SIMBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, June 23, 2023

    NAMUNGO FC YAMTAMBULISHA ERASTO NYONI SIKU MOJA TU BAADA YA KUTEMWA SIMBA


    KLABU ya Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi imemtambulisha kiungo mkongwe anayeweza kucheza nafasi zote za ulinzi pembeni na katikati, Erasto Edward Nyoni kuwa mchezaji wake kwanza mpya kuelekea msimu ujao.
    Namungo FC inamtambulisha Erasto siku moja tu baada ya klabu ya Simba kutangaza kuachana naye kufuatia kudumu Msimbazi tangu mwaka 2017 akitokea Azam FC.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NAMUNGO FC YAMTAMBULISHA ERASTO NYONI SIKU MOJA TU BAADA YA KUTEMWA SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top