// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MOHAMED RAZA AFARIKI DUNIA, AZIKWA LEO KISUTU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MOHAMED RAZA AFARIKI DUNIA, AZIKWA LEO KISUTU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, June 08, 2023

    MOHAMED RAZA AFARIKI DUNIA, AZIKWA LEO KISUTU


    MFANYABIASHARA, Mwanasiasa na Mfadhili wa zamani wa michezo visiwani Zanzibar, Mohamed Raza Hassanali Dharamsi amefariki dunia leo Jijini Dar es Salaam akiwa ana umri wa miaka 60.
    Kwa mujibu wa taarifa, Raza aliyewahi kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini, Kusini Unguja amezikwa jioni ya leo katika makaburi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam.
    Enzi za uhai wake, Raza alikuwa mmoja wafadhili maarufu wa michezo Zanzibar na alikuwa pia akiisaidia klabu ya Yanga ya Dar es Salaam.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MOHAMED RAZA AFARIKI DUNIA, AZIKWA LEO KISUTU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top