MCHEZAJI Bora na Mfungaji Bora mwenza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Fiston Kalala Mayele wa Yanga SC yupo mapumzukoni visiwani Zanzíbar na familia yake na amefikia katika hoteli ya Verde inayomilikiwa na Bilionea Alhamisi Sheikh Said Salim Bakhresa.
MAYELE YUPO MAPUMZIKONI ZANZÍBAR ‘ANAKULA BATA’ HOTEL VERDE
MCHEZAJI Bora na Mfungaji Bora mwenza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Fiston Kalala Mayele wa Yanga SC yupo mapumzukoni visiwani Zanzíbar na familia yake na amefikia katika hoteli ya Verde inayomilikiwa na Bilionea Alhamisi Sheikh Said Salim Bakhresa.
0 comments:
Post a Comment