TIMU ya Mashujaa ya Kigoma imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kupanda Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma. Mabao ya Mashujaa yamefungwa na Abihud Mtumbuka dakika ya 24, Asanga Stallone dakika ya 69 na Shadrack Ntabindi kwa penalti dakika ya 78, wakati la Mbeya City alijifunga Aziz Sibo dakika ya 63. Timu hizo zitarudiana Alhamisi Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya na Mbeya City itatakiwa kushinda 2-0 ili kufuzu kwa sheria ya mabao ya ugenini. Mshindi wa jumla atapanda Ligi Kuu na timu itakayofungwa itakwenda kucheza Ligi ya Championship. Ikumbukwe Mashujaa inacheza mchujo huu ikitoka Championship na Mbeya City imetoka Ligi Kuu.
FUFA President mourns legendary Baker Kasigwa
-
FUFA President Hon. Magogo Moses Hassim has learnt with shock the death of
former Uganda Cranes player Mr. Baker Kasigwa which occurred on Sunday 22nd
De...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment