• HABARI MPYA

        Wednesday, June 28, 2023

        MALICKOU NDOYE AONGEZA MKATABA AZAM FC HADI 2025


        BEKI wa kati, Msenegal Malickou Ndoye amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea na kazi Azam FC hadi mwaka 2025.
        Ndoye aliyetua Azam FC msimu uliopita akitokea Teungueth  ya kwao, Rufisque msimu ujao ata ataungana na kocha wake wa zamani, Youssouph Dabo.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MALICKOU NDOYE AONGEZA MKATABA AZAM FC HADI 2025 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry