• HABARI MPYA

        Thursday, June 15, 2023

        KOCHA WA MAKIPA YANGA MBRAZIL MILTON NIENOV AONDOKA NA NABI


        KLABU ya Yanga imeachana na kocha wake makipa, Mbrazil Milton Nienov baada ya misimu miwili ya kufanya kazi kwa mafanikio.
        Mbrazil huyo aliyewahi kufanya kazi kwa watani, Simba anamfuatia kocha Mkuu, Nasredine Nabi ambaye jana Yangw ilitangaza kuachana naye kufuatia Mtunisia huyo kugoma kuongeza mkataba.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KOCHA WA MAKIPA YANGA MBRAZIL MILTON NIENOV AONDOKA NA NABI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry