// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KMKM MABINGWA WA ZANZIBAR MARA TATU MFULULIZO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KMKM MABINGWA WA ZANZIBAR MARA TATU MFULULIZO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, June 08, 2023

    KMKM MABINGWA WA ZANZIBAR MARA TATU MFULULIZO

    KMKM wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi ya PBZ Zanzibar kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuichapa Chipukizi mabao 2-0 jana Uwanja wa Amani, Zanzibar, hivyo kumaliza na pointi 69, nne Zaidi ya KVZ iliyoshika nafasi ya pili, wote wakifuatiwa na Mlandege pointi 53, Malindi 49 na Zimamoto 45.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KMKM MABINGWA WA ZANZIBAR MARA TATU MFULULIZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top