// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KMC BADO WAPO WAPO SANA LIGI KUU, WAIPIGA MBEYA CITY 2-0 UHURU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KMC BADO WAPO WAPO SANA LIGI KUU, WAIPIGA MBEYA CITY 2-0 UHURU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, June 16, 2023

    KMC BADO WAPO WAPO SANA LIGI KUU, WAIPIGA MBEYA CITY 2-0 UHURU


    TIMU ya KMC ya Kinondoni imefanikiwa kusalia Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Mbeya City jioni ya leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
    Mabao ya KMC katika mchezo huo wa marudiano wa mchujo wa kukwepa kuteremka daraja yamefungwa na Daruwesh Saliboko dakika ya tatu na Awesu Awesu dakika ya 28.
    KMC inabaki Ligi Kuu kwa ushindi wa jumla wa 3-2 kufuatia kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza Jumanne Jijini Mbeya na sasa Mbeya City itakwenda kumenyana na Mashujaa ya Kigoma kujaribu tena kubaki Ligi Kuu.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KMC BADO WAPO WAPO SANA LIGI KUU, WAIPIGA MBEYA CITY 2-0 UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top