BAO pekee la Collins Okpare dakika ya 45 na ushei limeipa Dodoma Jiji FC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
Kwa ushindi huo, Dodoma Jiji wanafikisha pointi 34 na kusogea nafasi ya 10, wakati Namungo FC inabaki na pointi zake 39 nafasi ya tano baada ya wote kucheza mechi 29.
Kwa ushindi huo, Dodoma Jiji wanafikisha pointi 34 na kusogea nafasi ya 10, wakati Namungo FC inabaki na pointi zake 39 nafasi ya tano baada ya wote kucheza mechi 29.
0 comments:
Post a Comment