// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); DIARRA MCHEZAJI BORA WA FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE DIARRA MCHEZAJI BORA WA FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, June 04, 2023

    DIARRA MCHEZAJI BORA WA FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA


    KIPA wa Yanga Djigui Diarra akiwa na Tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Mechi ya marudiano ya Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger usiku wa jana Uwanja wa Julai 5, 1962 Jijini Algiers nchini Algeria.
    Diarra aliokoa mkwaju wa penalti wa Zinéddine Belaïd dakika ya 59, Yanga ikishinda 1-0, lakini USM Alger wamekuwa mabingwa kwa faida ya mabao ya ugenini baada ya sare ya jumla ya 2-2 kufuatia ushindi wao wa 2-1 Dar es Salaam Jumapili iliyopita.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DIARRA MCHEZAJI BORA WA FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top