// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); DIAMOND ALIVYOWABURUDISHA WANA YANGA LEO JANGWANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE DIAMOND ALIVYOWABURUDISHA WANA YANGA LEO JANGWANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, June 13, 2023

    DIAMOND ALIVYOWABURUDISHA WANA YANGA LEO JANGWANI


    MWANAMUZIKI Diamond Platinums akiwatumbuiza mashabiki wa Yanga leo makao makuu ya klabu hiyo, Jangwani Jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe za kufurahia mataji matatu waliyotwaa msimu huu.
    Yanga wamekuwa na msimu mzuri, kwani pamoja na kutwaa Ngao ya Jamii, ubingwa wa Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) - pia wamefika Fainali Kombe la Shirikisho Afrika.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DIAMOND ALIVYOWABURUDISHA WANA YANGA LEO JANGWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top