// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); COASTAL UNION YAACHANA WACHEZAJI SABA WAGENI WATANO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE COASTAL UNION YAACHANA WACHEZAJI SABA WAGENI WATANO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, June 22, 2023

    COASTAL UNION YAACHANA WACHEZAJI SABA WAGENI WATANO


    TIMU ya Coastal Union ya Tanga imetangaza kuachana na wachezaji saba baada ya kumalizika msimu wakijakilishia kubaki Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara katika siku ya mwisho kabisa.
    Walioachwa ni kipa Mcomoro, Mahamoud Mroivili, mabeki Mganda Joseph Zziwa, Mrundi, Emery Nimubona, kiungo Mbenin Djibril Naim Olatoundji na wazawa, kiungo Yussuf Jamal Kisongo na mshambuliaji Yussuf Athumani.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: COASTAL UNION YAACHANA WACHEZAJI SABA WAGENI WATANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top