// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AMROUCHE ATAJA KIKOSI CHA STARS DHIDI YA NIGER JUMAPILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AMROUCHE ATAJA KIKOSI CHA STARS DHIDI YA NIGER JUMAPILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, June 15, 2023

    AMROUCHE ATAJA KIKOSI CHA STARS DHIDI YA NIGER JUMAPILI


    KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Mualgeria Adel Amrouche ametaja kikosi cha wachezaji 30 cha Taifa Stars kilichopo kambini Jijini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo dhidi ya Niger Kundi F kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2023.
    Kuelekea mchezo huo wa Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam ambao Taifa Stars itamkosa kipa wake namba moja, Aishi Manula ambaye ni majeruhi, Amrouche amewachukua makipa wasiadizi, Metacha Mnata wa Yanga na Benno Kakolanya wa Simba SC.



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AMROUCHE ATAJA KIKOSI CHA STARS DHIDI YA NIGER JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top