WENYEJI, Al Ahly SC wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya mabingwa watetezi, Wydad Athletic Club katika Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika usiku huu Uwanja wa Kimataifa wa Cairo Jijini Cairo nchini Misri. Mabao ya Al Ahly yamefungwa na washambuliaji wa Kimataifa wa Afrika Kusini, Percy Muzi Tau dakika ya 45 na ushei na Mahmoud Soliman ‘Kahraba’ dakika ya 59, wote wakimalizia pasi ya Hussein El Shahat. Bao pekee la Wydad limefungwa na mshambuliaji Mmorocco, Saif-Eddine Bouhra dakika ya 86 akimalizia kazi nzuri ya mshambuliaji Msenegal, Bouly Junior Sambou na timu hizo zitarudiana Juni 11 Uwanja wa Mohamed V Jijini Casablanca.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment