// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AISHI MANULA BAADA YA KUFANYIWA OPERESHENI LEO AFRIKA KUSINI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AISHI MANULA BAADA YA KUFANYIWA OPERESHENI LEO AFRIKA KUSINI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, June 02, 2023

    AISHI MANULA BAADA YA KUFANYIWA OPERESHENI LEO AFRIKA KUSINI


    KIPA namba moja wa Simba, Aishi Salum Manula baada ya kufanyiwa upasuaji wa nyama za paja nchini Afrika Kusini leo tayari kurejea nyumbani kwa mapumziko.
    Aishi aliumia kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) Aprili 7, mwaka huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AISHI MANULA BAADA YA KUFANYIWA OPERESHENI LEO AFRIKA KUSINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top