
Friday, June 30, 2023

TIMU za Mtibwa Sugar na Geita Gold zimefanikiwa kwenda Fainali ya Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya kuzitoa Azam FC na K...
DIRISHA LA USAJILI LIGI KUU KUFUNGULIWA JUMAMOSI HADI AGOSTI 31
Friday, June 30, 2023
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema dirisha la usajili kwa timu za Ligi Kuu ya NBC, Championship, Daraja la Kwanza na Ligi Kuu ya Wan...
LISAJO ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA MIWILI AZAM FC
Friday, June 30, 2023
BEKI mahiri kiraka, Lusajo Mwaikenda ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuendelea kuichezea Azam FC hadi mwaka 2025.
Thursday, June 29, 2023
TWIGA STARS YASONGA MBELE BILA JASHO KUFUZU OLIMPIKI 2024
Thursday, June 29, 2023
TIMU ya soka ya taifa ya wanawake Tanzania, “Twiga Stars” imefuzu kucheza Raundi ya Pili ya kufuzu Michezo ya Olimpiki 2024 Paris baada ya ...
ABDALLAH KHERI AONGEZA MKATABA AZAM FC HADI 2026
Thursday, June 29, 2023
BEKI wa katí, anayeweza kucheza pembeni pia, Mzanzibari Abdallah Kheri ‘Sebo’ ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia Azam FC...
YANGA SC YAACHANA NA KIPA ERICK JOHOLA
Thursday, June 29, 2023
KLABU ya Yanga imeachana na kipa wake nne, Erick Johola baada ya misimu miwili tangu awasili Jangwani akitokea Aigle Noir ya Burundi. Erick ...
Wednesday, June 28, 2023
AZAM, MTIBWA, KAGERA NA GEITA GOLD ZATINGA NUSU FAINALI LIGI YA U20
Wednesday, June 28, 2023
TIMU za Azam FC, Mtibwa Sugar, Kagera Sugar na Geita Gold zimefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Ligi ya Vijana U20 baada ya ushindi kwenye mec...
YANGA YATOZWA FAINI KWA MASHABIKI KUSHAMBULIA STEWARDS SOKOINE
Wednesday, June 28, 2023
KLABU ya Yanga imetozwa faini ya Sh. Milioni 1 baada ya mashabiki wake kuwarushia chupa walinzi wa Uwanja wa Sokoine wakati wa mchezo wa Lig...
AZAM FC YASAJILI MCHEZAJI KUTOKA RAJA CASABLANCA
Wednesday, June 28, 2023
KLABU ya Azam FC imemtambulisha kiungo wa Kimataifa wa Gambia, Gibril Sillah kuwa mchezaji wake mpya kuelekea msimu ujao baada ya kufikia m...
MALICKOU NDOYE AONGEZA MKATABA AZAM FC HADI 2025
Wednesday, June 28, 2023
BEKI wa kati, Msenegal Malickou Ndoye amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea na kazi Azam FC hadi mwaka 2025. Ndoye aliyetua Azam FC...
TANZANIA YAANZA VIBAYA MICHEZO YA AFRIKA SOKA LA UFUKWENI
Wednesday, June 28, 2023
TIMU ya taifa ya Soka la Ufukweni, imeanza vibaya Michezo ya Afrika baada ya kufungwa na Morocco 6-4 katika mchezo wa Kundi la Kwanza Ufukwe...
BARAZA LA MICHEZO UINGEREZA LAVUTIWA NA MAENDELEO YA MICHEZO NCHINI
Wednesday, June 28, 2023
KATIBU Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Uin...
Tuesday, June 27, 2023
DANIEL AMOAH ASAINI MKATABA MPYA AZAM FC HADI 2025
Tuesday, June 27, 2023
BEKI wa kati Mghana, Daniel Amoah amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kuchezea Azam FC hadi mwaka 2025.
TANZANIA PRISONS YAACHANA NA SHAABAN KISIGA ‘MALONE’
Tuesday, June 27, 2023
KLABU ya Tanzania Prisons imeachana na wachezaji wake watatu, ambao ni Ramadhani Ntabi, Michael Masinda na Shaaban Kisiga ‘Malone’ aliyewahi...
MKURUGENZI WA UFUNDI TFF KATIKA MAFUNZO YA UKOCHA UINGEREZA
Tuesday, June 27, 2023
MKURUGENZI wa Ufundi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Oscar Mirambo akiwa kwenye kozi ya juu ya Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA), UEFA...
SIMBA NA AZAM ZOTE ‘LONYA LONYA’ LIGI YA VIJANA U20
Tuesday, June 27, 2023
TIMU za Simba na Yanga zimekamilisha mechi zao za makundi bila ushindi katika Ligi ya Vijana chini ya umri wa miaka 20, michuano inayoendele...
Monday, June 26, 2023
TANZANIA PRISONS YAACHANA NA ISMAIL MGUNDA
Monday, June 26, 2023
KLABU ya Tanzania Prisons ya Mbeya imetangaza kuachana na Ismail Mgunda huyo akiwa mchezaji wa pili ndani ya siku mbili baada ya Oscar Paul.
BODI YAANZA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA WA LIGI KUU
Monday, June 26, 2023
BODI ya Ligi Kuu ya Tanzania (TPLB) imesema maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara yamekwishaanza na matarajio ni kuwa ms...
SINGIDA STARS YAMUONGEZEA MKATABA AZIZ ANDAMBWILE HADI 2026
Monday, June 26, 2023
KLABU ya Singida Fountain Gate ‘The Big Stars’ imemuongezea mkataba kiungo wake Aziz Andambwile hadi mwaka 2026. Aziz Andambwile anakuwa mch...
MTIBWA, GEITA GOLD ZATINGA ROBO FAINALI LIGI YA U20
Monday, June 26, 2023
MABINGWA watetezi, Mtibwa Sugar wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Ligi ya Vijana U20 baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Ruvu Shooting katika...
Sunday, June 25, 2023
SINGIDA FOUNTAIN GATE YAMTIA PINGU KAGOMA HADI 2026
Sunday, June 25, 2023
KLABU ya Singida Fountain Gate imemuongezea mkataba wake kiungo Yusuph Kagoma ambao utamuweka kwenye timu hiyo hadi mwaka 2026.
OSCAR PAUL MCHEZAJI WA KWANZA KUACHWA TANZANIA PRISONS
Sunday, June 25, 2023
KLABU ya Tanzania Prisons imeachana na kiungo wake Oscar Paul akiwa mchezaji wa kwanza kutemwa kuelekea msimu ujao. “Tunamshukuru Oscar Paul...
Saturday, June 24, 2023
TIMU YA TAIFA YAENDA TUNISIA MICHEZO YA AFRIKA SOKA YA UFUKWENI
Saturday, June 24, 2023
WACHEZAJI wa timu ya taifa ya soka la ufukweni wakiwa Uwanja ea Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam wakati wa s...
SIMBA NA YANGA ZALA VICHAPO, AZAM YASHINDA LIGI YA U20
Saturday, June 24, 2023
VIGOGO, Simba na Yanga wameendelea kuboronga katika Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya wote kufungwa katika mechi za leo ...
BRUNO GÓMEZ AONGEZA MKATABA SINGIDA BIG STARS HADI 2025
Saturday, June 24, 2023
KIUNGO Mbrazil, Bruno Barroso Gómez ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea na kazi Singida Fountain Gate ‘The Big Stars’ hadi mwaka 202...
MASHUJAA WAIPIGA TENA MBEYA CITY PALE PALE SOKOINE NA KUPANDA LIGI KUU
Saturday, June 24, 2023
TIMU ya Mashujaa ya Kigoma imefanikiwa kupanda Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mbeya City katika mch...
YANGA FAIDA TUPU 2022-2023, KUJENGA UWANJA WA KISASA JANGWANI
Saturday, June 24, 2023
KLABU ya Yanga msimu wa 2022-2023 imeingiza jumla ya Sh. Bilioni 17.8 kutokana na mapato mbalimbali, ikiwemo udhamini wao kutoka makampuni y...
KOCHA MPYA WA YANGA NI MUARGENTINA MIQUEL ANGEL GAMONDI
Saturday, June 24, 2023
KLABU ya Yanga imemtambulisha Muargentina, Miguel Ángel Gamondi (59) kuwa kocha wake mpya akirithi mikoba ya Mtunisia, Nasredeen Mohamed Nab...
WAZIRI WA MICHEZO DK. PINDI CHANA AITA WAWEKEZAJI KWENYE NETIBOLI
Saturday, June 24, 2023
WAZIRI wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewakaribisha wadau na wapenda michezo wa sekta binafsi wa ndani na nje y...
Friday, June 23, 2023
MTIBWA SUGAR YAENDELEZA UBABE LIGI YA VIJANA U20
Friday, June 23, 2023
MABINGWA watetezi, Mtibwa Sugar wameendeleza ubabe katika Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Namu...
HISTORIA YA SHAIBU NINJA YAFIKIA TAMATI YANGA SC
Friday, June 23, 2023
KLABU ya Yanga imetangaza kuchana na beki wake wa katí, Abdallah Haji Shaibu ‘Ninja’, huyo akiwa mchezaji wa tano kuondoka baada ya msimu mz...
BEKI CHIPUKIZI NATHANIEL CHILAMBO AONGEZA MKATABA AZAM FC HADI 2025
Friday, June 23, 2023
BEKI mahiri wa kulia, Nathaniel Chilambo amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuichezea Azam FC hadi mwaka 2025.
MAYELE YUPO MAPUMZIKONI ZANZÍBAR ‘ANAKULA BATA’ HOTEL VERDE
Friday, June 23, 2023
MCHEZAJI Bora na Mfungaji Bora mwenza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Fiston Kalala Mayele wa Yanga SC yupo mapumzukoni visiwani Zanzíbar na ...
SIMBA SC YAACHANA NA GARDIEL MICHAEL BAADA YA MIAKA MINNE
Friday, June 23, 2023
KLABU ya Simba imetangaza kuachana na beki wa kushoto, Gardiel Michael Mbaga baada ya miaka minne ya kupiga kazi Msimbazi tangu Julai 2019 a...
NAMUNGO FC YAMTAMBULISHA ERASTO NYONI SIKU MOJA TU BAADA YA KUTEMWA SIMBA
Friday, June 23, 2023
KLABU ya Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi imemtambulisha kiungo mkongwe anayeweza kucheza nafasi zote za ulinzi pembeni na katikati, Erast...
YANGA YAPIGWA NA DODOMA JIJI, SIMBA YADROO, AZAM YASHINDA
Friday, June 23, 2023
VIGOGO, Simba na Yanga wameanza kwa kusuasua Ligi ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 katika mechi zao za leo Uwanja wa Azam Complex, Chamaz...
Thursday, June 22, 2023
JAMES AKAMINKO AONGEZA MKATABA AZAM FC HADI MWAKA 2026
Thursday, June 22, 2023
KIUNGO Mghana, James Akaminko ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea na kazi Azam FC hadi mwaka 2026. Taarifa ya Azam FC jioni hii imes...
SIMBA SC YAMTEMA JONÁS MKUDE BAADA YA MIAKA 13 KAZINI
Thursday, June 22, 2023
KLABU ya Simba SC imeachana na kiungo wake mkongwe na kipenzi cha mashabiki, Jonás Gerard Mkude aliyedumu kikosini kwa miaka 13 tangu apandi...
SIMBA SC YAACHANA NA MCHEZAJI KIRAKA ERASTO NYONI
Thursday, June 22, 2023
KLABU ya Simba imetangaza kuachana na kiungo mkongwe anayeweza kucheza nafasi zote za ulinzi katikati na pembeni, Erasto Edward Nyoni baada ...
COASTAL UNION YAACHANA WACHEZAJI SABA WAGENI WATANO
Thursday, June 22, 2023
TIMU ya Coastal Union ya Tanga imetangaza kuachana na wachezaji saba baada ya kumalizika msimu wakijakilishia kubaki Ligi Kuu ya NBC Tanzani...
HISTORIA YA BENO KAKOLANYA SIMBA SC YAFUNGWA RASMI
Thursday, June 22, 2023
HATIMAYE klabu imeachana na mlinda mlango Beno David Kakolanya baada ya miaka minne ya kuwa naye tangu awasili kutoka kwa mahasimu, Yanga SC...
Wednesday, June 21, 2023
MTIBWA SUGAR YAANZA NA MOTO LIGI YA VIJANA U20
Wednesday, June 21, 2023
MABINGWA watetezi, Mtibwa Sugar wameanza vyema Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya ushindi wa 5-0 dhidi ya Mbeya City kati...
YANGA YAACHANA NA ‘TOTO TUNDU’ BERNARD MORRISON
Wednesday, June 21, 2023
KLABU ya Yanga imetangaza kuachana na winga Mghana, Bernard Morrison baada ya msimu mmoja tangu arejee kutoka kwa mahasimu, Simba SC. “Tunam...
SIMBA SC YAMUACHA NELSON OKWA ILIYEMTOA RIVERS UNITED
Wednesday, June 21, 2023
KLABU ya Simba imeachana na kiungo mshambuliaji Mnigeria, Nelson Esor-Bulunwo Okwa baada ya msimu mmoja tangu asajiliwe kutoka Rivers United...
Subscribe to:
Posts (Atom)