KOCHA Mikel Arteta amemalizia vizuri Ligi Kuu ya England baada ya ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Wolverhampton Wanderers leo Uwanja wa Emirates Jijini London. Mabao ya Arsenal yamefungwa na Granit Xhaka mawili dakika ya 11 na 14, Bukayo Saka dakika ya 27, Gabriel Jesus dakika ya 58 na Jakub Kiwior dakika ya 78. Kwa ushindi huo, Arsenal inamaliza Ligi na pointi 84, nyuma ya mabingwa Manchester City wenye pointi nne zaidi, wakati Wolves wanamaliza na pointi 41 nafasi ya 13.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment