• HABARI MPYA

        Tuesday, May 23, 2023

        TANZANIA MWENYEJI WARSHA YA LESENI ZA KLABU AFRIKA


        TANZANIA ni mwenyeji wa Warsha ya siku nne ya mafunzo ya Leseni za Klabu (Club Licensing) yanayoendelea kwenye hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam.
        Mafunzo hayo yanashirikisha nchi 17, ambazo mbali ya wenyeji Tanzania, nyingine ni Kenya, Uganda, Misri, Rwanda, Eritrea, Sudan Kusini, Gambia, Sierra Leone, Libya, Liberia, Ghana, Somalia, Nigeria na waalikwa, Zanzibar.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: TANZANIA MWENYEJI WARSHA YA LESENI ZA KLABU AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry