BAO la Nyota Mmisri, Mohamed Salah dakika ya 39 kwa penalti limeipa Liverpool ushindi wa 1-0 dhidi ya Fulham katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jumatano Uwanja wa Anfield. Penalti hiyo ilitolewa baada ya Darwin Nunez kuangushwa kwenye boksi na Issa Dip na kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 59 katika mchezo wa 34, ingawa inabaki nafasi ya tano ikizidiwa pointi nne na Manchester United ambayo pia ina mechi mbili mkononi. Kwa upande wao Fulham baada ya kichapo hicho wanabaki na pointi zao 45 za mechi 34 pia nafasi ya 10.
Preview: Arsenal v Ipswich Town
-
Get all the pre-match team news, stats, quotes, tactics and live TV
coverage in our essential guide to our festive fixture
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment