// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RAIS SAMIA AWANUNULIA MASHABIKI TIKETI 5000 YANGA V USM ALGER - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RAIS SAMIA AWANUNULIA MASHABIKI TIKETI 5000 YANGA V USM ALGER - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, May 22, 2023

    RAIS SAMIA AWANUNULIA MASHABIKI TIKETI 5000 YANGA V USM ALGER


    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amewanunulia mashabiki 5000 tiketi za mchezo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger utakaopigwa Jumapili kuanzia Saa 10:00 Jioni Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RAIS SAMIA AWANUNULIA MASHABIKI TIKETI 5000 YANGA V USM ALGER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top