• HABARI MPYA

        Tuesday, May 23, 2023

        MABAO 12 MAYELE AMEFUNGA KWA GUU LA KULIA LIGI KUU YA NBC


        MSHAMBULIAJI Mkongo wa Yanga SC, Fiston Kalala Mayele katika mabao 16 yanayomuweka kileleni kwenye chati ya ufungaji Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, 12 yote amefunga kwa mguu wa kulia.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MABAO 12 MAYELE AMEFUNGA KWA GUU LA KULIA LIGI KUU YA NBC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry