• HABARI MPYA

        Saturday, May 27, 2023

        KOCHA KALI ONGALA AKITOA MAFUNZO KWA VITENDO AZAM FC


        KOCHA wa Azam FC, Kally Ongala akitoa mafunzo kwa vitendo kwa beki wake, Nathan Chilambo wakati wa mazoezi ya kujiandaa na mechi mbili za kumalizia msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union Juni 6 Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga na Polisi Tanzania Juni 9 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
        Ikumbukwe Azam FC wanakabiliwa na mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azxam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya Yanga SC baadaye mwezi huu Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KOCHA KALI ONGALA AKITOA MAFUNZO KWA VITENDO AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry