TIMU ya KMC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Singida Big Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Mabao ya KMC yamefungwa na Daruwesh Saliboko dakika ya 20 na Cliff Buyoya dakika ya 84 na kwa ushindi huo wakicheza mechi ya pili chini ya kocha mpya, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ wanafikisha pointi 29 na kusogea nafasi ya 12, Kwa upande wao Singida Big Stars walio chini ya kocha Mholanzi, Hans van Pluijm wanabaki na pointi zao 51 nafasi ya nne baada ya wote kucheza mechi 28.
Preview: Arsenal v Ipswich Town
-
Get all the pre-match team news, stats, quotes, tactics and live TV
coverage in our essential guide to our festive fixture
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment