// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
JKT QUEENS MABINGWA LIGI YA WANAWAKE TANZANIA BARA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEJKT QUEENS MABINGWA LIGI YA WANAWAKE TANZANIA BARA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
JKT QUEENS MABINGWA LIGI YA WANAWAKE TANZANIA BARA
TIMU ya JKT Tanzania imefanikitwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara baada ya ushindi wa Mkwawa Queens leo Uwanja wa Samora mjini Iringa. Wapinzani wao wakuu katika mbio za ubingwa na waliokuwa mabingwa pia, Simba Queens ambao leo wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Ceasiaa Queens Uwanja wa Chuo Kikuu cha Mkwawa mjini Iringa pia. Kwa matokeo hayo, JKT Queens inamaliza na pointi 46, moja zaidi ya Simba Queens, wakati Fountain Gate Princess iliyomaliza na pointi 41 imeshika nafasi ya tatu na Yanga Princess yenye pointi 34 ni ya nne.
Ospreys confident of new St Helen's timetable
-
Ospreys chief executive Lance Bradley says the transformation of new ground
St Helen's will be completed with the first home game played there before
the e...
FUFA President mourns legendary Baker Kasigwa
-
FUFA President Hon. Magogo Moses Hassim has learnt with shock the death of
former Uganda Cranes player Mr. Baker Kasigwa which occurred on Sunday 22nd
De...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment