WENYEJI, Liverpool wameambulia sare ya kufungana bao 1-1 na Aston Villa katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield, Liverpool. Jacob Ramsey alianza kuifungia Aston Villa dakika ya 27, kabla ya Roberto Firmino kuisawazisha Liverpool dakika ya 89. Liverpool wanafikisha pointi 66 katika mchezo wa 37, ingawa wanabaki nafasi ya tano wakizidiwa pointi tatu na Manchester United ambao pia wana mechi moja mkononi, wakati Aston Villa inafikisha pointi 58 za mechi 37 nafasi ya saba.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment