// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
CHELSEA YASHINDA MECHI YA KWANZA TANGU LAMPARD AREJEE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINECHELSEA YASHINDA MECHI YA KWANZA TANGU LAMPARD AREJEE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
CHELSEA YASHINDA MECHI YA KWANZA TANGU LAMPARD AREJEE
HATIMAYE Kocha Frank Lampard amepata ushindi wa kwanza tangu arejee Chelsea baada ya leo kuichapa Bournemouth mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Vitality, Bournemouth, Dorset. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Conor Gallagher dakika ya tisa, Benoit Badiashile dakika ya 82 na Joao Felix dakika ya 86, wakati la Bournemouth limefungwa na Matias Vina dakika ya 21. Kwa ushindi huo Chelsea inafikisha pointi 42 katika mchezo wa 34 na kusogea nafasi ya 11, wakati Bournemouth inabaki na pointi zake 39 za mechi 35 nafasi ya 14.
TP Mazembe win CAF Women’s Champions league trophy
-
TP Mazembe have won the 2024 CAF Women’s Champions League title after they
defeated ASFAR 1-0 in the final on Saturday evening, played at the Ben
M’Hamed...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment