// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
CHELSEA YAMALIZA LIGI KWA SARE YA 1-1 NA NEWCASTLE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINECHELSEA YAMALIZA LIGI KWA SARE YA 1-1 NA NEWCASTLE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
CHELSEA YAMALIZA LIGI KWA SARE YA 1-1 NA NEWCASTLE
TIMU ya Chelsea imefunga msimu wa Ligi Kuu ya England kwa sare ya 1-1 na Newcastle United leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Newcastle United ilitangulia na bao la Anthony Gordon dakika ya tisa, kabla ya Kieran Trippier kujifunga kuisawazishia Chelsea dakika ya 27 baada ya kazi nzuri ya winga Raheem Sterling. Kwa matokeo hayo, Chelsea inamaliza na pointi 44 nafasi ya 12 na Newcastle United pointi 71 nafasi ya nne.
FUFA President mourns legendary Baker Kasigwa
-
FUFA President Hon. Magogo Moses Hassim has learnt with shock the death of
former Uganda Cranes player Mr. Baker Kasigwa which occurred on Sunday 22nd
De...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment