Sunday, May 14, 2023

    CHAMA AMTEMBELEA FEISAL ZANZIBAR NA KUSEMA…


    NYOTA wa Simba SC, Clatous Chama ameposti picha akiwa kiungo aliyesusa Yanga, Feisal Salum visiwani Zanzibar na kuandika ujumbe; When you are in Zanzibar and you don’t meet Feisal, then you are in a wrong place, yaani ukiwa Zanzibar na usikutane na Feisal. Huko sio kwenyewe,”.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHAMA AMTEMBELEA FEISAL ZANZIBAR NA KUSEMA… Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry