MABINGWA, Manchester City wamemaliza msimu wa Ligi Kuu ya England kwa kichapo cha 1-0 kutoka kwa Brentford leo Uwanja wa Gtech Community mjini Brentford, Middlesex. Bao pekee la Brentford limefungwa na Ethan Pinnock dakika ya 85 na kwa ushindi huo wanamaliza na pointi 59 nafasi y tisa, huku Manchester City wakiishia kwenye pointi 84 na ubingwa wao, nne zaidi ya Arsenal iliyomaliza ya pili.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment