// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
ARSENAL YACHAKAZWA 3-0 NA BRIGHTON PALE PALE EMIRATES - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEARSENAL YACHAKAZWA 3-0 NA BRIGHTON PALE PALE EMIRATES - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ARSENAL YACHAKAZWA 3-0 NA BRIGHTON PALE PALE EMIRATES
NDOTO za Arsenal FC kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England zimeyeyuka rasmi leo baada ya kuchapwa mabao 3-0 na Brighton & Hove Albion FC leo Uwanja wa Emirates Jijini London. Mabao ya Brighton & Hove Albion yamefungwa na Julio Enciso dakika ya 51, Deniz Undav dakika ya 86 na Pervis Estupiñán dakika ya 90. Ushindi huo unaifanya Brighton ifikishe pointi 58 katika mchezo wa 34 na kusogea nafasi ya sita, wakati Arsenal inabaki na pointi zake 81 za mechi 36 nafasi ya pili. Hii maana yake, Manchester City yenye pointi 85 za mechi 35 inahitaji kushinda mechi moja zaidi ili kutawazwa tena kuwa mabingwa.
'Remember that name' - meet Ireland's new fly-half
-
The battle for Johnny Sexton's number 10 jersey, a fascinating sub-plot of
Ireland's year, will take another interesting turn on Saturday when
21-year-old ...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment