
Wednesday, May 31, 2023

KLABU ya Simba imefanya marakebisho katika benchi la Ufundi la timu zake za vijana kwa kumteua Suleiman Matola kuwa Kocha Mkuu wa timu zote ...
TANZANIA KUCHEZA NA KONGO KUFUZU OILIMPIKI YA WANAWAKE PARIS 2024
Wednesday, May 31, 2023
TANZANIA itaanza na Kongo katika Raundi ya Kwanz aya mchujo wa kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Michezo ya Olimpiki (WOFT) Paris 2024 nc...
MWAMEJA AKUMBUSHIA SAFARI YA SIMBA FAINALI CAF 1993
Wednesday, May 31, 2023
MTANZANIA KUWA KAMISHNA FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
Wednesday, May 31, 2023
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limemteua Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Mtanzania, Ahmed Mgoyi kuwa Kamishna wa mchezo wa Fainali ya Ligi ya ...
Monday, May 29, 2023
FAINALI ASFC NI JUNI 12 AZAM NA YANGA MKWAKWANI
Monday, May 29, 2023
FAINALI ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cip (ASFC) itakayozikutanisha Azam na Yanga itapi...
YANGA 1-2 USM ALGER (KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA)
Monday, May 29, 2023
YANGA YATOA POLE KWA YALIYOTOKEA JANA DHIDI YA ALGER
Monday, May 29, 2023
UONGOZI wa Yanga SC umetoa pole kwa shabiki mmoja aliyefariki dunia jana wakati wa mchezo wa Fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika...
RAIS WA TFF KARIA ATOA POLE JANGA LA JANA MKAPA
Monday, May 29, 2023
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia ametoa kwa pole kwa shabiki mmoja aliyefariki dunia jana wakati wa mchezo wa Fainal...
WAZIRI AWAKABIDHI YANGA MILIONI 20 ZA RAIS DK SAMIA
Monday, May 29, 2023
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Pindi Chana (kushoto) akimkabidhi kipa wa Yanga, Metacha Mnata fedha taslimu Sh. Milioni 20 zawad...
SIMBA YATOA POLE KIFO CHA SHABIKI YANGA NA USM ALGER
Monday, May 29, 2023
KLABU ya Simba imetoa pole kwa kifo cha shabiki mmoja na wengine 30 waliojeruhiwa wakati wa mchezo wa kwanza wa Fainali ya Kombe la Shirikis...
MMOJA AFARIKI, 30 WAJERUHIWA YANGA NA USM ALGER DAR
Monday, May 29, 2023
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dkt. Pindi Chana amewajulia hali majeruhi 10 wanaoendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali y...
BRENTFORD YAWAKALISHA MABINGWA MAN CITY 1-0
Monday, May 29, 2023
MABINGWA, Manchester City wamemaliza msimu wa Ligi Kuu ya England kwa kichapo cha 1-0 kutoka kwa Brentford leo Uwanja wa Gtech Community mji...
Sunday, May 28, 2023
CHELSEA YAMALIZA LIGI KWA SARE YA 1-1 NA NEWCASTLE
Sunday, May 28, 2023
TIMU ya Chelsea imefunga msimu wa Ligi Kuu ya England kwa sare ya 1-1 na Newcastle United leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Newca...
LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE YA 4-4 NA SOUTHAMPTON
Sunday, May 28, 2023
TIMU ya Liverpool imekamilisha msimu wa Ligi Kuu ya England kwa sare ya mabao 4-4 na Southampton iliyoshuka daraja leo Uwanja wa St. Mary...
MAN UNITED YAICHAPA FULHAM 2-1 DE GEA AOKOA PENALTI
Sunday, May 28, 2023
TIMU ya Manchester United imehitimisha msimu wa Ligi Kuu ya England kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Fulham leo Uwanja wa Old Trafford Jijini Man...
XHAKA APIGA MBILI ARSENAL YAICHAPA WOLVES 5-0
Sunday, May 28, 2023
KOCHA Mikel Arteta amemalizia vizuri Ligi Kuu ya England baada ya ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Wolverhampton Wanderers leo Uwanja wa Emira...
AISHI MANULA KWENDA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU
Sunday, May 28, 2023
KIPA namba moja wa Simba, Aishi Salum Manula anatarajiwa kwenda Afrika Kusini kwa matibabu baada ya tiba zake kugonga mwamba nchini. Aishi a...
NDOTO ZA PAMBA KUREJEA LIGI ZAYEYUKA, MASHUJAA WASONGA MBELE
Sunday, May 28, 2023
NDOTO za Pamba ya Mwanza kurejea Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mara nyingine zimeyeyuka licha ya ushindi wa 4-1 dhidi ya Mashujaa ya Kig...
YANGA YAJIWEKA PAGUMU FAINALI SHIRIKISHO, YACHAPWA 2-1 NYUMBANI
Sunday, May 28, 2023
TIMU ya Yanga imeshindwa kutumia vizuri Uwanja wa nyumbani, Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam baada ya kufungwa mabao 2-1 na USM Alger kat...
RAIS YANGA SC AITISHA MKUTANO MKUU WA MWAKA SAA CHACHE
Sunday, May 28, 2023
RAIS wa Yanga SC, Hersi Ally Said ameitisha Mkutano Mkuu wa mwaka utakaofanyika Juni 24, mwaka huu Jijini Dar es Salaam. Tangazo la Mkutano ...
Saturday, May 27, 2023
KOCHA KALI ONGALA AKITOA MAFUNZO KWA VITENDO AZAM FC
Saturday, May 27, 2023
KOCHA wa Azam FC, Kally Ongala akitoa mafunzo kwa vitendo kwa beki wake, Nathan Chilambo wakati wa mazoezi ya kujiandaa na mechi mbili za ku...
KACHUMBARI ALIYEWIKA SMALL SIMBA, MLANDEGE NA MALINDI AFARIKI DUNIA
Saturday, May 27, 2023
ALIYEWAHI kuwa beki wa timu za Kikwajuni, Small Simba, Mlandege, Malindi SC na Mafunzo, zote za Zanzibar, Mohamed Kachumbari (pichani kushot...
YANGA V USM ALGER KESHO; NABI AELEZA MIKAKATI YAO YA USHINDI
Saturday, May 27, 2023
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Mohamed Nabi amesema ana matumaini ya matokeo mazuri baada ya maandalizi waliyofanya kwa ajili ya F...
MALIPO YA TIKETI 5,000 ALIZONUNUA MAMA RAIS DK SAMIA HAYA HAPA!
Saturday, May 27, 2023
MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa (kulia) akimkabidhi beki wa Yanga, Dickson Job kiasi cha Sh. Milioni 25 za tiketi 5,000 kutoka kwa R...
UWANJA WA BENJAMIN MKAPA TAYARI UMEFURIKA YANGA V USM ALGER
Saturday, May 27, 2023
TIKETI zote 60,000 za madaraja tofauti ya mchezo wa kwanza wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya wenyeji, Yanga na USM Alger ya ...
MAZOEZI YA YANGA JANA KIGAMBONI KUIKABILI USM ALGER KESHO
Saturday, May 27, 2023
KIPA wa Yanga raia wa Mali, Djigui Diarra akitoa maelekezo kwa wenzake wakati wa mazoezi ya jana Uwanja wa Avic Town, Kigamboni Jijini Dar e...
Friday, May 26, 2023
BILIONEA GHALIB AAHIDI MILIONI 63 KILA MCHEZAJI YANGA
Friday, May 26, 2023
MFADHILI Mkuu wa Yanga SC, Ghalib Said Mohamed ameahidi zawadi ya Sh. Milioni 63 kwa kila mchezaji iwapo watatwaa Kombe la Shirikisho Afrika...
DUBE NA MAYELE KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA ASFC
Friday, May 26, 2023
WACHEZAJI wawili wa Azam FC, Prince Dube Mpumelelo na Abdul Suleiman Sopu watachuana na wa Yanga, Bakari Mwamnyeto, Clement Mzize na Fiston ...
MAN UNITED YAICHAPA CHELSEA 4-1 NA KUFUZU LIGI YA MABINGWA
Friday, May 26, 2023
TIMU ya Manchester United imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Chelsea kwenye mechi ya Ligi Kuu ya England usiku wa Alhamisi Uwanja wa ...
Thursday, May 25, 2023
SIMBA SC YAAJIRI MTAALAMU WA KUSAKA VIPAJI
Thursday, May 25, 2023
KLABU ya Simba SC imemtambulisha Mholanzi, Mels Daalder kuwa Mkuu wake wa Idara ya kusaka vipaji vya kusajili kwneye timu yake kuelekea msim...
YANGA YAANZA KUMKABILI FEI TOTO KWA UTOVU WA NIDHAMU
Thursday, May 25, 2023
KLABU ya Yanga imemtaka kiungo wake, Feisal Salum Abdallah kufika mbele ya Kamati yake ya Sheria na Nidhamu kujibu tuhuma za utovu wa Nidham...
LUNYAMILA ALIVYOREJEA KUTOKA UJERUMANI NA ‘KUWAUA’ SIMBA 1996
Thursday, May 25, 2023
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga SC, Edibily Jonas Lunyamila (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Simba SC, Mathias Mulumba katika mch...
MAN CITY YAAMBUA SARE KWA BRIGHTON THE AMEX
Thursday, May 25, 2023
MABINGWA mara tatu mfululizo, Manchester City usiku wa jana wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Brighton & Hove Albion katika mc...
Wednesday, May 24, 2023
RAIS DK SAMIA AAFIKI TANZANIA KUANDAA AFCON KWA PAMOJA NA KENYA NA UGANDA
Wednesday, May 24, 2023
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. samia Suluhu Hassan ameunga mkono wazo la kushirikana na Uganda na Kenya kuomba uenyeji wa Fain...
MKUU MPYA WA MKOA DAR ANUNUA TIKETI 1,000 YANGA NA USM ALGER
Wednesday, May 24, 2023
MKUU mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamilla amenunua tiketi za Sh. Milioni 5 kwa ajili ya mashabiki kuelekea mchezo wa kwanza wa F...
Tuesday, May 23, 2023
BENKI YA NBC YAZINDUA MBIO ZA NBC DODOMA MARATHON 2023
Tuesday, May 23, 2023
• Mbio za NBC Dodoma Marathon kufanyika tarehe 23.07.2023 Dodoma • Itahusisha mbio za Km42, Km21, Km10 na Km5 • Mbio zinalenga kukusanya fe...
AZIZ KI NDIYE KINARA WA MABAO YA MGUU WA KUSHOTO LIGI KUU
Tuesday, May 23, 2023
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki raia wa Burkina Faso ndiye anaongoza kufunga mabao kwa mguu wa kushoto katika Ligi Kuu ya NBC...
TANZANIA MWENYEJI WARSHA YA LESENI ZA KLABU AFRIKA
Tuesday, May 23, 2023
TANZANIA ni mwenyeji wa Warsha ya siku nne ya mafunzo ya Leseni za Klabu (Club Licensing) yanayoendelea kwenye hoteli ya Johari Rotana Jijin...
NYOTA WA POLISI TANZANIA TISHIO KWA MABAO YA VICHWA LIGI KUU
Tuesday, May 23, 2023
MSHAMBULIAJI wa Polisi Tanzania, Kelvin Kongwe Sabato ‘Kiduku’ wa Polisi Tanzania ndiye anaongoza kwa kufunga mabao ya kichwa katika Ligi Ku...
MABAO 12 MAYELE AMEFUNGA KWA GUU LA KULIA LIGI KUU YA NBC
Tuesday, May 23, 2023
MSHAMBULIAJI Mkongo wa Yanga SC, Fiston Kalala Mayele katika mabao 16 yanayomuweka kileleni kwenye chati ya ufungaji Ligi Kuu ya NBC Tanzani...
MTANZANIA MADINA IDDI ASHINDA MASHINDANO YA GOFU KENYA
Tuesday, May 23, 2023
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dk. Pindi Chana ametoa pongezi kwa Mtanzania, Madina Iddi kwa kuibuka wa kwanza katika mashind...
Subscribe to:
Posts (Atom)