// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
YANGA WAPO SAFARINI, WANAKWENDA NIGERIA KWA KAZI YA JUMAPILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEYANGA WAPO SAFARINI, WANAKWENDA NIGERIA KWA KAZI YA JUMAPILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
YANGA WAPO SAFARINI, WANAKWENDA NIGERIA KWA KAZI YA JUMAPILI
WACHEZAJI wa Yanga Stephane Aziz Ki (kushoto) na Mudathir Yahya wakiteremka kwenye ndege Jijini Addis Ababa, Ethiopia walipowasili asubuhi ya leo wakitokea Dar es Salaam, tayari kuunganisha ndege kwenda Nigeria kwa ajili ya mchezo na wenyeji, Rivers United Jumapili. Yanga itamenyana na Rivers katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika Jumapili Uwanja wa Godswill Akpabio International mjini Uyo huko Akwa Ibom Kusini mwa Nigeria, kabla ya timu hizo kurudiana Aprili 30 Dar es Salaam.
Uganda Cranes legend Samuel Baker Kasigwa rests
-
FUFA is saddened to learn of the passing on of former Uganda Cranes player
Baker Kasigwa that occurred today at his home in Kisalizi, Masindi
district. U...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment