• HABARI MPYA

        Friday, April 21, 2023

        YANGA WAONDOKA LAGOS KWENDA NYUMBANI KWA RIVERS UYO


        KIUNGO wa Yanga, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Murtala Muhammed, Jijini Lagos nchini Nigeria kwa safari ya kwenda mjini Uyo kumenyana na wenyeji. Rivers United katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: YANGA WAONDOKA LAGOS KWENDA NYUMBANI KWA RIVERS UYO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry