// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
YANGA SC WAKABIDHIWA SH MILIONI ZA MAMÁ SAMIA BAO DHIDI YA MAZEMBE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEYANGA SC WAKABIDHIWA SH MILIONI ZA MAMÁ SAMIA BAO DHIDI YA MAZEMBE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
YANGA SC WAKABIDHIWA SH MILIONI ZA MAMÁ SAMIA BAO DHIDI YA MAZEMBE
MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa leo amewakabidhi Yanga SC Sh. Milioni 5 za zawadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa bao lao walilofunga kwenye mechi dhidi ya TP Mazembe. Yanga walishinda 1-0 jana dhidi ya wenyeji, TP Mazembe Jijini Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) jana kwenye mchezo wa mwisho wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika. Rais Samia amekuwa akitoa Sh. Milioni 5 kwa kila bao la Yanga kwneye Kombe la Shirikisho na kiasi kama hicho pia kwa watani wao, Simba SC kwa kila bao wanalofunga kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kuanzia Hatua ya makundi.
TP Mazembe win CAF Women’s Champions league trophy
-
TP Mazembe have won the 2024 CAF Women’s Champions League title after they
defeated ASFAR 1-0 in the final on Saturday evening, played at the Ben
M’Hamed...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment