• HABARI MPYA

        Wednesday, April 26, 2023

        YANGA SC WAKABIDHIWA MAMILIONI YA MAMA MABAO YA NIGERIA


        MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa (kulia) akimkabidhi Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe fedha taslimu Sh. Milioni 10 zawadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa mabao yao mawili waliyofunga kwenye ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Rivers United Jumapili nchini Nigeria.
        Ilikuwa mechi ya kwanza ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na timu hizo zitarudiana Jumapili ya wiki hii Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam, Yanga ikihitaji sare tu kwenda Nusu Fainali.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: YANGA SC WAKABIDHIWA MAMILIONI YA MAMA MABAO YA NIGERIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry