• HABARI MPYA

        Wednesday, April 19, 2023

        WYDAD WAPO TAYARI DAR KUIVAA SIMBA JUMAMOSI


        MABINGWA 
        wa Afrika Wydad Club Athletic, maarufu kama Wydad Casablanca wamewasili leo asubuhi Dar es Salaam tayari kwa mchezo wa kwa za wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Simba SC Jumamosi Uwanja wa Benjamín Mkapa.



        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: WYDAD WAPO TAYARI DAR KUIVAA SIMBA JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry