• HABARI MPYA

        Wednesday, April 19, 2023

        WYDAD WANAVYOKUJA DAR MECHI NA SIMBA SC JUMAMOSI


        MABINGWA wa Afrika, Wydad Club Athletic, maarufu kama Wydad Casablanca wakiwa Uwanja wa Ndege wa Mohamed V Jijini Casablanca usiku wa Jana wakati wanaanza safari ya kuja Dar es Salaam kumenyana na wenyeji, Simba SC katika Robo Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika Jumamosi Uwanja wa Benjamín Mkapa.




        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: WYDAD WANAVYOKUJA DAR MECHI NA SIMBA SC JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry